MIIINYAA HAAAPOO JUUUU KWA MAPIIICHAAA ZAIDIIII
Diamond Platnumz amefunguka
baada ya tuzo aliyokuwa akiwania kwenda kwa Black Coffee wa South Africa.
‘Kila kitu kimeenda fresh na tuzo za Afrika zimeenda kwa Black Coffee,
unatakiwa umshukuru mungu kwa kila kinachotokea na hata ukiangalia kwa mwaka
jana Tanzania ndio Nchi ambayo imepokea tuzo nyingi sana za Internationa kwa
hiyo watu waendelee tu kussuport‘ Diamond Platnumz
MIIINYAAA HAPAAA CHIIINII KUCHEKIII VIDIOOO
Chapisha Maoni
Zingatia: Mwanachama wa blogu hii tu ndiye anayeweza kuchapisha maoni.